ROAD TO SUCCESS cover logo
RSS Feed Apple Podcasts Overcast Castro Pocket Casts
English
Non-explicit
anchor.fm
16:59

It looks like this podcast has ended some time ago. This means that no new episodes have been added some time ago. If you're the host of this podcast, you can check whether your RSS file is reachable for podcast clients.

ROAD TO SUCCESS

by Roadtosuccesstz

Road to success podcast is here to educate, inspire and transform you.

Copyright: Roadtosuccesstz

Episodes

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 6

6m · Published 29 May 19:42
Hii ni hatua ya kujiuzuru. Lazima utoke kwenye ajira yako na uanze kufanya mambo yako. Hiki ni kitendo cha imani. Lazima uwe na imani kwamba maiaha yatakuwa mazuri bila mshahara. Wewe sio wa kwanza kuacha ajira. Mwanzoni mambo yatakuwa magumu lakini ukiwa mkomavu, milango mipya itafunguka.

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya 5

5m · Published 29 May 19:20
Katika hatua hii, anza kutumia muda wako wa ziada kujenga taaluma yako mpya au biashara yako mpya. Utahitajika kuwekeza zaidi ya masaa 10 kwa siku.

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya 4

6m · Published 29 May 18:53
Anza kutengeneza uzoefu mpya na pia tengeneza mtandao wa marafiki nje ya ajira yako. Soma vitabu, sikiliza jumbe za hamasa na angalia video zenye hamasa na maarifa sahihi.

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI-Hatua ya tatu(3)

6m · Published 29 May 18:13
Hatua ya tatu ni kuanza mchakato wa kuweka akiba. Utakapoacha ajira, akiba yako ndiyo hazina yako. Ongeza kiwango cha kuweka akiba.

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya pili (2)

6m · Published 29 May 17:22
Katika hatua ya pili, lazima uandike tarehe ya kuacha kazi. Lengo bila mipaka ya muda linakosa msukumo. Pia tafuta DIARY ambapo utakuwa unaonyesha mikakati yako ya kila siku.

HATUA 6 ZA KUJIAJIRI- Hatua ya kwanza (1)

10m · Published 29 May 16:11
Inawezekana ndoto zako umezikalia muda mrefu kwa sababu upo kwenye ajira. Hii ni hatua ya kwanza ya kuacha kazi ili uweze kujiajiri. Usisahau kufuatilia hatua zinazofuata.

MAMBO MATATU (3) YA KUFANYA KILA ASUBUHI ILI UWE MTU WA THAMANI II Rodricknabe @Roadtosuccesstz

6m · Published 29 May 07:25
Haya mambo matatu yatakufanya uwe mtu wa thamani katika jamii. Waliofanikiwa wanayafanya haya, kwanini usifuate alama hizi za mafanikio.

HOW TO GET A JOB OF YOUR CHOICE II Rodrick Nabe

10m · Published 28 May 18:42
Any graduates dream of getting a job of their choice. These 8 tips will help. If you are a parent, share these tips with your children. If you are a student of graduate, take action.

TABIA 10 ZA KIMAFANIKIO

7m · Published 27 May 12:57
Jifunze tabia 10 ambazo zitabeba mafanikio yako. Kumbuka kwamba una uwezo wa kujifunza tabia mpya. Ni maamuzi tu.

ROAD TO SUCCESS (Trailer)

38s · Published 26 May 12:57

ROAD TO SUCCESS has 40 episodes in total of non- explicit content. Total playtime is 11:19:45. The language of the podcast is English. This podcast has been added on October 28th 2022. It might contain more episodes than the ones shown here. It was last updated on April 4th, 2024 19:50.

Similar Podcasts

Every Podcast » Podcasts » ROAD TO SUCCESS