Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle cover logo

Somo 20 – Nimeandikisha chumba (hotelini)

15m · Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle · 17 Mar 16:37

Siku ya kukosa bahati Herr Müller... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case III)

The episode Somo 20 – Nimeandikisha chumba (hotelini) from the podcast Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle has a duration of 15:39. It was first published 17 Mar 16:37. The cover art and the content belong to their respective owners.

More episodes from Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu

Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?

Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘

Somo 24 – Nimesahau

Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa

Somo 23 – Kumetokea nini?

Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa

Somo 22 – Jumatano saa moja ya asubuhi

Matatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati