Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle cover logo

Somo 19 – Vizuri (nimefurahi) umefika Berlin

14m · Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle · 17 Mar 16:34

Andreas anampigia simu Dr.Thürmamm... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia dass

The episode Somo 19 – Vizuri (nimefurahi) umefika Berlin from the podcast Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle has a duration of 14:58. It was first published 17 Mar 16:34. The cover art and the content belong to their respective owners.

More episodes from Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tu

Mwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogo

Dr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi

Somo 24 – Wafu hawafi milele

Andreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Somo 23 – Hospitali mashuhuri Charité

Dr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)

Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)

Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)