KIJANA NA UJANA
10m
·
GWABO RADIO
·
Sikiliza Mahojiano mazuri kabisa kutoka kwa Mkurugenzi muandamizi wa taasisi ya Gracious Givers Tanzania 🇹🇿 ndugu CHRISTIAN KIMEGA (Mahojiano yaliofanywa kwa njia ya simu "PHONE INTERVIEW"). KARIBU USIKILIZE !!!!!!!!!
The episode KIJANA NA UJANA from the podcast GWABO RADIO has a duration of
10:58. It was first published
More episodes from GWABO RADIO
BIASHARA KIGANJANI
Sikiliza Mahojiano mazuri kabisa kutoka kwa DAVID PETER ambaye huyu Ni Mjasiliamali anashughulika na utengenezaji wa sabuni na dawa za chooni zinazotambulika kwa jina la NGUKULU DETERGENT. Pia ameeleza juu ya Mchango mkubwa wa MAENDELEO BANK katika safari yake ya upambanaji na kumshukuru Mwenyekiti wa vijana Jimbo na dayosisi katika kanisa la KKKT ndugu,ANANIA NDONDOLE kwa kuona fursa mbalimbali ambazo zipo na Vijana wanapaswa kuzifikia....................................... #Karibu Sana kusikiliza📢🎤🎧
KIJANA NA UJANA
Sikiliza Mahojiano mazuri kabisa kutoka kwa Mkurugenzi muandamizi wa taasisi ya Gracious Givers Tanzania 🇹🇿 ndugu CHRISTIAN KIMEGA (Mahojiano yaliofanywa kwa njia ya simu "PHONE INTERVIEW"). KARIBU USIKILIZE !!!!!!!!!
KIJANA NA UJANA
Fuatilia muendelezo huuu na Samson John Mwambungu
Brand Jingles
Karibu tukutengenezee Mambo mazuri ili biashara yako ionekane mpya kabisa.
GWABO RADIO intro
Karibu Sana mdau wetu huu Ni wakati wako