IJUE AFYA YAKO cover logo
RSS Feed Apple Podcasts Overcast Castro Pocket Casts
Swahili
Non-explicit
anchor.fm
22:29

It looks like this podcast has ended some time ago. This means that no new episodes have been added some time ago. If you're the host of this podcast, you can check whether your RSS file is reachable for podcast clients.

IJUE AFYA YAKO

by Afya Yakoleo

Lengo la hii podcast ni kuwasaidia wanaume Wanaohangaika na changamoto ya Kuwahi kufika kileleni mapema, kukosa hamu ya tendo la ndoa, uume kushindwa kusima au kuwa mlegevu unaposimama, kukosa hamu ya kurudia tendo la Ndoa, uzito mkubwa au kitambi. Fuatilia kila somo linatumwa hapa ili kupata mbinu mbali mbali za kuweza kufurahia tendo la Ndoa.

Copyright: Afya Yakoleo

Episodes

Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako

44m · Published 05 Apr 21:40
Vipingamizi vya wateja ni moja ya hofu kubwa Sana miongoni mwa wauzaji wengi wa Bidhaaa au huduma. Katika mauzo uwezo wako wa kuvikabili vipingamizi vya wateja ndio utakao kufanya kuwa na mauzo mengi au kidogo kwasababu Huwezi kuvikwepa au kuviepuka vingi izi kwa 100% zaidi ya kuvipunguza tu. Vipingamizi ni sehemu ya mauzo njia pekee ya kuviepuka siyo kuvikimbia na kuviogopa Bali ni kujenga Urafiki navyo Kama Jinsi closers wanavofanya, moja ya kitu cha kujua pindi unapouza bidhaa/huduma yoyote ni kwamba wateja huganganya usiamini kila neno wanalokwambia na hufanya hivyo kutokana na hofu ya kufanya MAKOSA makubwa hofu kubwa zaidi kwa mteja ni kufanya MAKOSA ya kununua bidhaa/huduma na hofu kubwa zaidi kwa muuzaji ni ile ya kukataliwa (fear of rejection), ila sababu namba inayopelekea mteja kukupa kipingamizi ni IMANI aidha hajakuamini wewe, biaadha/huduma, kampuni yako au hajiamini yeye.

IJUE AFYA YAKO has 2 episodes in total of non- explicit content. Total playtime is 44:59. The language of the podcast is Swahili. This podcast has been added on November 21st 2022. It might contain more episodes than the ones shown here. It was last updated on February 15th, 2024 09:43.

Every Podcast » Podcasts » IJUE AFYA YAKO