IJUE AFYA YAKO cover logo

Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako

44m · IJUE AFYA YAKO · 05 Apr 21:40

Vipingamizi vya wateja ni moja ya hofu kubwa Sana miongoni mwa wauzaji wengi wa Bidhaaa au huduma. Katika mauzo uwezo wako wa kuvikabili vipingamizi vya wateja ndio utakao kufanya kuwa na mauzo mengi au kidogo kwasababu Huwezi kuvikwepa au kuviepuka vingi izi kwa 100% zaidi ya kuvipunguza tu. Vipingamizi ni sehemu ya mauzo njia pekee ya kuviepuka siyo kuvikimbia na kuviogopa Bali ni kujenga Urafiki navyo Kama Jinsi closers wanavofanya, moja ya kitu cha kujua pindi unapouza bidhaa/huduma yoyote ni kwamba wateja huganganya usiamini kila neno wanalokwambia na hufanya hivyo kutokana na hofu ya kufanya MAKOSA makubwa hofu kubwa zaidi kwa mteja ni kufanya MAKOSA ya kununua bidhaa/huduma na hofu kubwa zaidi kwa muuzaji ni ile ya kukataliwa (fear of rejection), ila sababu namba inayopelekea mteja kukupa kipingamizi ni IMANI aidha hajakuamini wewe, biaadha/huduma, kampuni yako au hajiamini yeye.

The episode Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako from the podcast IJUE AFYA YAKO has a duration of 44:19. It was first published 05 Apr 21:40. The cover art and the content belong to their respective owners.

More episodes from IJUE AFYA YAKO

Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako

Vipingamizi vya wateja ni moja ya hofu kubwa Sana miongoni mwa wauzaji wengi wa Bidhaaa au huduma. Katika mauzo uwezo wako wa kuvikabili vipingamizi vya wateja ndio utakao kufanya kuwa na mauzo mengi au kidogo kwasababu Huwezi kuvikwepa au kuviepuka vingi izi kwa 100% zaidi ya kuvipunguza tu. Vipingamizi ni sehemu ya mauzo njia pekee ya kuviepuka siyo kuvikimbia na kuviogopa Bali ni kujenga Urafiki navyo Kama Jinsi closers wanavofanya, moja ya kitu cha kujua pindi unapouza bidhaa/huduma yoyote ni kwamba wateja huganganya usiamini kila neno wanalokwambia na hufanya hivyo kutokana na hofu ya kufanya MAKOSA makubwa hofu kubwa zaidi kwa mteja ni kufanya MAKOSA ya kununua bidhaa/huduma na hofu kubwa zaidi kwa muuzaji ni ile ya kukataliwa (fear of rejection), ila sababu namba inayopelekea mteja kukupa kipingamizi ni IMANI aidha hajakuamini wewe, biaadha/huduma, kampuni yako au hajiamini yeye.

Siri Ya Kufanya Mauzo Kwa Kila Mteja Anaekutafuta (Trailer)

Every Podcast » IJUE AFYA YAKO » Siri za kukabili vipingamizi unavyokutana navyo kutoka kwa wateja unakutana nao kwenye biashara yako